Haya ni majina ya mashuja walionyongwa na wajerumani katika vita ya majimaji.sehemu hii inapatikana katika eneo la makumbusho mahenge songea katika mkoa wa Ruvuma.
baadhi ya vitu vilivyotumiwa na jamii ya watu wa mkoa wa ruvuma kabla ya ukoloni.
baadhi ya makabila yapatikanayo mkoa wa ruvuma ni wamatengo,wayao,wandendeule,wangoni.picha hapo chini zinaonyesha baadhi ya vifaa walivyotumia katika shughuli za kijamii.
zana za kuwindia
ngoma zilizotengenezwa kwa ngozi ya simba
zana za kuzalishia vifaa vya chuma
vifaa vya kubebea na kuhifadhi nafaka
nguo za magome ya miti na kaniki
vifaa vya jikoni
No comments:
Post a Comment