Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu
Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu
Hiki ni kipigo ambacho Salha alikipata baada ya kumtambulisha rafiki
yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q.
Baada ya utambulisho huo....sinema ya ngumi na mateke ilianza....
Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akampasulia kioo kichwani, kampiga na jiko la mkaa kichwanBaada ya utambulisho huo....sinema ya ngumi na mateke ilianza....
BABA WA CHRISS BROWN AMTAJA MSICHANA AMBAE ANGEPENDA MWANAE AMUOE- HUYU HAPA
Clinton Brown amesema “sioni maisha marefu kwa Chris Brown kuwa na Rihanna, sijawahi kupendezwa na kurudiana kwao, unajua ni lazima kwenye uhusiano wa kimapenzi uwe na mtu sahihi ambae ni hitaji la kweli na linaloweza kuwa lako kwenye maisha, lakini sio kama hivi”
Clinton amesema hapendi kutumia mifano lakini anadhani watu wameona mahusiano ya mastaa kama Whitney Houston, Michael Jackson, Amy Winehouse na wengine”
Kuhusu mrembo ambae angependa kuona anaolewa na mwanae, Clinton amemtaja Jordin Sparks kwa kusema “nimempenda Jordin, ni msichana mdogo lakini mwenye upeo mkubwa… ana akili na heshima”
JIMMY YEYO ATOA WIMBO MPYA UNAOENDA KWA JINA LA TUNA BANG
msanii jimmy yeyo ametoa kibao chake kinachoenda kwa jina la tunabang ambacho kinafanya vizuri kweli katika vituo vya redio ukiachana na ngoma yake hiyo jimmy yeyoo ame hit na ngoma zake kama media, hisiha, na nyingine nyingi
No comments:
Post a Comment