Haya ni majina ya mashuja walionyongwa na wajerumani katika vita ya majimaji.sehemu hii inapatikana katika eneo la makumbusho mahenge songea katika mkoa wa Ruvuma.
baadhi ya vitu vilivyotumiwa na jamii ya watu wa mkoa wa ruvuma kabla ya ukoloni.
baadhi ya makabila yapatikanayo mkoa wa ruvuma ni wamatengo,wayao,wandendeule,wangoni.picha hapo chini zinaonyesha baadhi ya vifaa walivyotumia katika shughuli za kijamii.
zana za kuwindia
ngoma zilizotengenezwa kwa ngozi ya simba
zana za kuzalishia vifaa vya chuma
vifaa vya kubebea na kuhifadhi nafaka
nguo za magome ya miti na kaniki
vifaa vya jikoni
lily ze shine
Friday, 18 March 2016
Wednesday, 4 December 2013
Monday, 18 November 2013
Wema Sepetu arudi kwenye mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza baada ya msiba.
mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake ulipotokea hivi karibuni
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’
Ujumbe wake unasomeka kama ifuatavyo….
"...my darlings... im still grieving... i know you guys miss me... nd i miss you more... im jus still nat okay... but im right here... nipo pamoja na nyinyi... muda tu kidogo... dats all im asking for... nawapenda... saana kupita maelezo... im gone be baq... very soon... i promise... its jus dat sipo sawa. .. but inshallah... ntakuwa sawa... inshallah... its hard... i hope mnanielewa... i repeat nawapenda mno... mno... more dan u think... u kip me goin... u make me who iam... sema tu msifanye vile basi... msitukane... me mwenzenu bado im nat okay... alafu mnaniongezea matatizo... mi spendi... all in all i still love you guys... basi msinikere... sawa... sometimes its best to jus keep quiet... okay.... much love... P.S: Iam a father's daughter
Mwanamuziki Linex Sunday kuonekana ndani ya filamu mpya ya aunty Ezekiel - 'Mwajuma'
Msanii Linex Sunday Mjeda aka The V.O.A ameamua kufungua ukurasa wa pili wa kipaji ambacho hajawahi kukionesha cha uigizaji, hivi karibuni ataonekana katika filamu mpya ya muigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel inayoitwa ‘MWAJUMA’.
Kwa mujibu wa tovuti ya bongo5, linex ameeleza kuwa filamu ya Mwajuma inahusu mwanadada aliyekuwa na maisha ya chini akiwa mama ntilie na baadae kuja kufanikiwa na kuanza maisha ya kihuni hususani kubadilisha wanaume kama nguo
Filamu hii inatarajiwa kutoma mwishoni mwa mwezi ujao
Bado tunaendelea kutafuta ukweli hasa wa sababu ya safari yake hiyo na tutawajulisha mara tutakapokuwa na taarifa kamili.
Naye Irene Uwoya aliamua kuwavunja watu mbavu kwa kumpa Johari ujumbe huu kama ishara ya kumtakia kila la kheri huko aendako. Irene aliandika…
“Yan wewe nirafiki yangu kipenz...bahat haiji mara mbili....sasa ukifika canada usinisahau ....maisha ndohayo...wazungu hawatak uswahili tuliaaaa…”

Tazama mwonekano mpya wa Ray akiwa na staili mpya ya nywele na Tatoo mwilini
Johari atimkia Canada, tetesi zadai amepata “mchuchu wa kizungu”, Uwoya ampa ujumbe mzito
Mwanadada Johari chagula ametimka nchini jana kuelekea nchini Canada kwa shughuli zake binafsi amabzo bado hatujaweza kupata taarifa kamili mpaka sasa
Kwa mujibu wa picha tulizozipata kupitia kwa Irene Uwoya kwenye mitandao ya kijamii , mwanadada huyo inasemekana amepata mpenzi wa kizungu ambaye ndio amemualika huko nchini Canada.Bado tunaendelea kutafuta ukweli hasa wa sababu ya safari yake hiyo na tutawajulisha mara tutakapokuwa na taarifa kamili.
Naye Irene Uwoya aliamua kuwavunja watu mbavu kwa kumpa Johari ujumbe huu kama ishara ya kumtakia kila la kheri huko aendako. Irene aliandika…
“Yan wewe nirafiki yangu kipenz...bahat haiji mara mbili....sasa ukifika canada usinisahau ....maisha ndohayo...wazungu hawatak uswahili tuliaaaa…”
Johari, Mahinda wamwagiana MATUSI ya nguoni kisa penzi la RAY
Kambi mbili za wasanii wanaotamba katika tasnia ya filamu
Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ na Blandina Chagula ‘Johari’, zimetupiana
matusi mazito..
Mainda alimwaga ‘upupu’ Jumatano iliyopita na kumfanya kila shabiki wao awashwe na habari hiyo.
SIKIA KEJELI ZA JOHARI
Mara baada ya kutoka kwa habari hiyo, Johari alinukuliwa na gazeti moja akisema kwamba Mainda amembipu, atampigia akiashiria kwamba atajibu mashambulizi hayo.
Hata kabla ya kufanya hivyo, Johari aliwaambia waandishi wetu kwamba Mainda amewavua nguo na kuwaweka hadharani.
TIMU JOHARI
Kwa upande mwingine, baadhi ya wasanii wakubwa wanaoitumikia Kampuni ya Ray na Johari (RJ), kurekodi kazi zao, (Team Johari) wakamshambulia Mainda kwa matusi mazito kupitia mitandao ya kijamii kama vile Instagram na BBM.
MAREKANI YAITAJA TANZANIA KUWA KINARA WA BIASHARA YA KUSAFIRISHA BINADAMU
Dar es Salaam. Marekani imetoa ripoti inayozungumzia usafirishaji wa binadamu ya mwaka 2013, huku ikiitaja Tanzania kuwa kinara wa kunyanyasa wasichana, kuwatumikisha katika ngono na usafirishaji wa binadamu.
Tanzania imetajwa
kuwa ni miongoni mwa nchi 44 ambazo zinajaribu kupambana na biashara
hiyo, lakini hali inazidi kuwa mbaya zaidi
Ruth Suka ‘Mainda’.
Chanzo
cha yote ni Mainda kufunguka juu ya uhusiano wake na ‘kaka mkubwa’
katika tasnia ya filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na kufichua
jinsi Johari na msanii mwingine, Chuchu Hans walivyomuingilia katika
penzi hilo.Mainda alimwaga ‘upupu’ Jumatano iliyopita na kumfanya kila shabiki wao awashwe na habari hiyo.
SIKIA KEJELI ZA JOHARI
Mara baada ya kutoka kwa habari hiyo, Johari alinukuliwa na gazeti moja akisema kwamba Mainda amembipu, atampigia akiashiria kwamba atajibu mashambulizi hayo.
Hata kabla ya kufanya hivyo, Johari aliwaambia waandishi wetu kwamba Mainda amewavua nguo na kuwaweka hadharani.
TIMU JOHARI
Kwa upande mwingine, baadhi ya wasanii wakubwa wanaoitumikia Kampuni ya Ray na Johari (RJ), kurekodi kazi zao, (Team Johari) wakamshambulia Mainda kwa matusi mazito kupitia mitandao ya kijamii kama vile Instagram na BBM.
MAREKANI YAITAJA TANZANIA KUWA KINARA WA BIASHARA YA KUSAFIRISHA BINADAMU
Dar es Salaam. Marekani imetoa ripoti inayozungumzia usafirishaji wa binadamu ya mwaka 2013, huku ikiitaja Tanzania kuwa kinara wa kunyanyasa wasichana, kuwatumikisha katika ngono na usafirishaji wa binadamu.
Ripoti
hiyo iliyotolewa na idara ya nchi hiyo inayohusika na diplomasia (US
Department of State, Diplomacy in Action), pia inaitaja Tanzania kuwa ni
kitovu cha njia ya kusafirisha wanawake, watoto na wanaume ambao
hutumikishwa kwenye kazi za mashambani na biashara ya ngono.
Ripoti
hiyo iliyozinduliwa Julai mwaka huu na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Marekani, Seneta John Kerry inaweka bayana kwamba biashara ya
usafirishaji wa binadamu hufanywa na baadhi ya ndugu na marafiki ambao
hutoa ahadi kwa wahusika kwamba wanakwenda kuwasomesha au kuwatafutia
ajira nzuri mijini.
“Unyonyaji wa wasichana
wadogo na utumikishaji majumbani ndilo tatizo linaloongoza, ingawa kesi
za watoto kusafirishwa kwa ajili ya biashara ya ngono katika mpaka wa
Tanzania na Kenya zinaongezeka. Pia, wasichana wananyonywa kwenye maeneo
ya utalii,” inasema sehemu ya ripoti hiyo.
Kwa
mujibu wa ripoti hiyo, watoto kutoka Burundi na Kenya, watu wazima
kutoka Bangladesh, Nepal, Yemen na India wanatumikishwa kufanya kazi
kwenye sekta za kilimo, madini na majumbani nchini Tanzania.
“Baadhi
ya raia kutoka nchi jirani huingia Tanzania kwa hiari yao, lakini
hulazimishwa kufanya kazi majumbani kabla ya kupelekwa kutumikishwa
kwenye biashara ya ngono Afrika Kusini, Ulaya na Mashariki ya Kati,”
inaeleza.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,
Angela Kairuki alimtaka mwandishi kumtumia ripoti hiyo kwa njia ya
baruapepe ili aweze kuisoma na kuitolea maelezo.
Alipotafutwa
siku ya pili, alisema kuwa ameipokea na kuikabidhi ofisi ya Mkurugenzi
Mkuu wa Mashtaka (DPP) ili ifanyiwe kazi na baadaye kutoa majibu.
“Ripoti
niliipata nikaikabidhi ofisi ya DPP kwa kuwa wao ndio wanaoweza
kuitolea maelezo baada ya kuisoma. Maoni yangu lazima yawe ya kitaalamu
siwezi kusema bila kupata taarifa kutoka kwao,” alisema.
Lawama kwa Serikali
Ripoti
hiyo inaitupia lawama Tanzania kwa kutokuwa na sheria thabiti za
kupambana na biashara haramu ya kusafirisha binadamu, huku ikitolea
mfano namna ilivyoshindwa kuwasaidia raia wake waliokuwa wakinyanyaswa
nje ya nchi.
“Kamati ya Serikali ya kupambana
na usafirishaji binadamu, haijachukua hatua za kutosha katika kutekeleza
mpango mkakati wa kupambana na vitendo hivyo,” inaeleza na kuongeza:
“Serikali
imeshindwa kutenga fedha kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa
usafirishaji wa binadamu kama ambavyo inaelekezwa kwenye sheria ya
kudhibiti biashara hiyo ya 2008.”
Taarifa hiyo
inaitaka Tanzania kuongeza nguvu katika kutekeleza sheria ya kudhibiti
biashara ya kusafirisha binadamu ya 2008 kwa kuwakamata na kuwashtaki
wahusika wote, lakini ikaikosoa kwa kusema inatoa adhabu ndogo kwa mtu
anayebainika kufanya makosa, ikiwa ni pamoja na kumhukumu kwenda jela
miaka 10, kulipa faini au vyote viwili kwa pamoja.
“Sheria
hiyo haifanani na nyingine kama za mtu anayepatikana na kosa la kubaka
au kufanya kosa jingine la jinai. Mamlaka imesema ina kesi nne
inazozichunguza, saba zipo mahakamani toka mwaka jana, zikiwepo mbili
mpya,” inasema ripoti.
Pia, Serikali ya
Tanzania imelaumiwa kwa kushindwa kuripoti maendeleo ya uchunguzi wa
maofisa wake waliotuhumiwa kujihusisha na biashara ya usafirishaji
binadamu.
LHRC na TGNP
Mkurugenzi
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba
alisema tatizo la usafirishaji wa binadamu pia linachangiwa na wasichana
kuwa na tamaa ya maisha mazuri, hivyo kukubali ahadi ambazo hupewa
kwamba wanapelekwa kusoma, wasifahamu wanarubuniwa.
“Wengi
wanatamani kwenda ‘majuu’ wakidhani watapata elimu, lakini baadaye
wanaingizwa kwenye vitendo vinavyowafedhehesha na kuwafanya wakate tamaa
kabisa,” alisema.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Usu Mallya alisema katika siku za
karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya unyanyasaji dhidi ya
wasichana waliochukuliwa vijijini kwenda mijini kufanya kazi.
Alisema
pamoja na tatizo hilo kuongezeka hapa nchini, hakuna tafiti za kutosha
ambazo zimefanywa na wadau mbalimbali kuonyesha madhara yaliyopatikana
hadi sasa.
“Katika siku za usoni kumekuwa na
ongezeko kubwa la vitendo vya kunyimwa chakula, kupigwa na kufukuzwa
kazi huku wasichana wengine wakitumika kwenye biashara ya ngono,”
alisema na kuongeza:
“Ripoti hii isiishie kwenye makabrasha bali ifanyiwe kazi ili jamii yote ijue kuwa hili ni tatizo.”
Ripoti
hiyo inabainisha kuwa watu 47,000 pekee ndio walioweza kuokolewa mwaka
jana kutoka kwenye mazingira ya utumikishwaji kati ya milioni 27 waliopo
katika hali hiyo duniani.
Monday, 4 November 2013
P.SQUARE WAMEWEKA FURNITURE ZA DHAHABU NYUMBANI KWAO
Wanandugu wawili ambao ni mapacha Peter Okoye na Paul Okoye, leo hii
wameushangaza ulimwengu mara baada ya picha zao wakiwa kwenye sebule na
dinning room iliyonakshiwa na dhahabu kwenye samani zake kuzagaa
mitandaoni huku zikisindikizwa na maneno yenye kujiamini ndani yake.
Kama kweli mng’o unaoonekana kwenye vitu hivi vyote ni dhahabu, basi
hakuna sababu kuna kila sababu ya kuwaita wafalme wa mziki Africa
kutokana na thamani ya pesa waliyotumia kutengeneza samani hizi.
Friday, 1 November 2013
Diamond awapa "makavu" wanafiki wa Wema Sepetu. Soma hapa alichokiandika
"Mwenyez mungu alituagiza kuzika na ndiomaana leo tuko hapa... na sio kwenda sehem uliyokuwa unaforce wewe ili kesho upate picha za kuzusha instagram...! Upo...? Nakwambia, wewe ulokuwa unaandika upuuzi kwenye Comment..."
Hayo ni maneno ya Diamond Platnumz kwa wanafiki wa kipenzi chake na rafiki yake Wema Sepetu walihudhuria msiba kwa malengo tofauti na ya kumfariji dada yetu dada aliyepata msiba wa kuondokewa na baba yake mzazi hivi karibuni.
Baada Ya Miezi Michache Ndani Ya Ndoa Bob Junior Aachana Na Mke Wake, Fuatilia HapaMsanii Bob Junior amefunguka leo kupitia sammisago.com kuwa yuko single baada ya ndoa yake kuvunjika mwezi moja uliopita. Wasanii wengi huwa wanapata wakati mgumu wanapo funga ndo kwa sababu ya umaarufu na ratiba za maisha yao kabla ya kufunga ndoa.
Bob Junior leo mchana ametambulisha wimbo wake mpya na kutoa taarifa kwa mabinti wote kuwa kwa sasa Bob Junior ni single boy kumanisha kuwa ameachana na mke wake mwezi moja uliopita. Kuogopa kuweka mambo ya familia waze Bob Junior hajasema haswa Sababu ya kuachana na mke wake ila ameniambia kilicho changia ndoa yake kuvunjika ni Wivu wa mke wake.
Bob junior ameniambia kuwa wivu ni moja ya sababu zilizofanya ndoa yake kuvunjika na kwamba alikuwa na wakati mgumu sana kumuonyesha mke wake kuwa yeye ni muaminifu kutokana na kuwa star na kupendwa na mashabiki wa Kike.
Fahamu kuwa ndoa ya Bob Junior Imedumu kwa Mwaka Moja Na miezi 2 tu.
Ladies Bob Junior Is Available. lol
Subscribe to:
Posts (Atom)