Friday, 1 November 2013
Diamond awapa "makavu" wanafiki wa Wema Sepetu. Soma hapa alichokiandika
"Mwenyez mungu alituagiza kuzika na ndiomaana leo tuko hapa... na sio kwenda sehem uliyokuwa unaforce wewe ili kesho upate picha za kuzusha instagram...! Upo...? Nakwambia, wewe ulokuwa unaandika upuuzi kwenye Comment..."
Hayo ni maneno ya Diamond Platnumz kwa wanafiki wa kipenzi chake na rafiki yake Wema Sepetu walihudhuria msiba kwa malengo tofauti na ya kumfariji dada yetu dada aliyepata msiba wa kuondokewa na baba yake mzazi hivi karibuni.
Baada Ya Miezi Michache Ndani Ya Ndoa Bob Junior Aachana Na Mke Wake, Fuatilia HapaMsanii Bob Junior amefunguka leo kupitia sammisago.com kuwa yuko single baada ya ndoa yake kuvunjika mwezi moja uliopita. Wasanii wengi huwa wanapata wakati mgumu wanapo funga ndo kwa sababu ya umaarufu na ratiba za maisha yao kabla ya kufunga ndoa.
Bob Junior leo mchana ametambulisha wimbo wake mpya na kutoa taarifa kwa mabinti wote kuwa kwa sasa Bob Junior ni single boy kumanisha kuwa ameachana na mke wake mwezi moja uliopita. Kuogopa kuweka mambo ya familia waze Bob Junior hajasema haswa Sababu ya kuachana na mke wake ila ameniambia kilicho changia ndoa yake kuvunjika ni Wivu wa mke wake.
Bob junior ameniambia kuwa wivu ni moja ya sababu zilizofanya ndoa yake kuvunjika na kwamba alikuwa na wakati mgumu sana kumuonyesha mke wake kuwa yeye ni muaminifu kutokana na kuwa star na kupendwa na mashabiki wa Kike.
Fahamu kuwa ndoa ya Bob Junior Imedumu kwa Mwaka Moja Na miezi 2 tu.
Ladies Bob Junior Is Available. lol
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment