Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’
Ujumbe wake unasomeka kama ifuatavyo….
"...my darlings... im still grieving... i know you guys miss me... nd i miss you more... im jus still nat okay... but im right here... nipo pamoja na nyinyi... muda tu kidogo... dats all im asking for... nawapenda... saana kupita maelezo... im gone be baq... very soon... i promise... its jus dat sipo sawa. .. but inshallah... ntakuwa sawa... inshallah... its hard... i hope mnanielewa... i repeat nawapenda mno... mno... more dan u think... u kip me goin... u make me who iam... sema tu msifanye vile basi... msitukane... me mwenzenu bado im nat okay... alafu mnaniongezea matatizo... mi spendi... all in all i still love you guys... basi msinikere... sawa... sometimes its best to jus keep quiet... okay.... much love... P.S: Iam a father's daughter
Mwanamuziki Linex Sunday kuonekana ndani ya filamu mpya ya aunty Ezekiel - 'Mwajuma'
Msanii Linex Sunday Mjeda aka The V.O.A ameamua kufungua ukurasa wa pili wa kipaji ambacho hajawahi kukionesha cha uigizaji, hivi karibuni ataonekana katika filamu mpya ya muigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel inayoitwa ‘MWAJUMA’.
Kwa mujibu wa tovuti ya bongo5, linex ameeleza kuwa filamu ya Mwajuma inahusu mwanadada aliyekuwa na maisha ya chini akiwa mama ntilie na baadae kuja kufanikiwa na kuanza maisha ya kihuni hususani kubadilisha wanaume kama nguo
Filamu hii inatarajiwa kutoma mwishoni mwa mwezi ujao
Tazama mwonekano mpya wa Ray akiwa na staili mpya ya nywele na Tatoo mwilini
Johari atimkia Canada, tetesi zadai amepata “mchuchu wa kizungu”, Uwoya ampa ujumbe mzito
Mwanadada Johari chagula ametimka nchini jana kuelekea nchini Canada kwa shughuli zake binafsi amabzo bado hatujaweza kupata taarifa kamili mpaka sasa
Kwa mujibu wa picha tulizozipata kupitia kwa Irene Uwoya kwenye mitandao ya kijamii , mwanadada huyo inasemekana amepata mpenzi wa kizungu ambaye ndio amemualika huko nchini Canada.Bado tunaendelea kutafuta ukweli hasa wa sababu ya safari yake hiyo na tutawajulisha mara tutakapokuwa na taarifa kamili.
Naye Irene Uwoya aliamua kuwavunja watu mbavu kwa kumpa Johari ujumbe huu kama ishara ya kumtakia kila la kheri huko aendako. Irene aliandika…
“Yan wewe nirafiki yangu kipenz...bahat haiji mara mbili....sasa ukifika canada usinisahau ....maisha ndohayo...wazungu hawatak uswahili tuliaaaa…”
No comments:
Post a Comment