Tuesday, 24 September 2013

FURSA KWA VIJANA YAPOKELEWA KWA SHANGWE BUKOBA MJINI WENDA VIJANA WATANUFAIKA

Mdau wa michezo na mwanamichezo wa sports extra wa Clouds Fm (kushoto) Bw. Shaffih Dauda akiteta jambo na Mrisho Mpoto na (katikati) ni Ruge Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group mapema na kabla ya semina kuanza kwenye ukumbi wa Lina's Club Bukoba mjini.
Mghani mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa msisitizo,masuala ya fursa mbalimbali zinazopatikana katika suala la Ujasiliamali mapema mchana wa leo kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba Mjini.Semina hiyo iliyoandaliwa na Clouds Media Group,imefadhiriwa na shirika la NSSF;Zantel,MaxMalipo, Lake Oil.
Ruge Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group

Bw. Willy O.Ruta wa Kiroyera Tours kushoto alikuwa mmoja wa wageni maalum waliokuwa

UFUNGUZI WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI MKOANI KAGERA 2013 YAFANA.




WANA HARAKATI WA SANAA WAKIWA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MSANII YOUNG TAYTA

Video ya mkali wa hiphop kagera young tayta ambaye aliwahi kua mshindi katika mashindano ya school bash of talent kagera, sasa imeingia katika hatua nyingine .akiongea na kagerakwetu magazine mkurugenzi wa mashindano bwana honesty ambaye pia nimsimamizi wa kampuni ya slope promo entertainment amedaikua kufikia taerhe 25 mwezi huu tayari video itakua mtaani .

VECHA ALMANUSRA APOTEZE UHAI WAKE KWA AJALI YA GARI

 Habari zilizotufikia ni kwamba Dj Vencha alipata ajali katika usiku wa kuamkia leo akiwa safarini,chanzo cha habari kinasema kuwa chanzo cha ajali ni Dj huyo alikuwa mendo kasi na pombe iliukuwa Tilalila.

BUZNESS NA WENZAKE WAPATA AJALI WAKITOKA GEITA

Msanii wa hip hop Izzo buzness nae na wenzake wamenusurika kifo baaba ya kutokea ajali ya basi walilokuwa wamependa wakitoka Geita kwenye show na kuelekea mwanza kutafta usafiri wa ndege.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema ni msanii mmoja tu ajuikanae kwa jina la Kabago alijeruhwa maeneo ya jicho,safari iliendelea kama kawa. 

SHOW ALIOIFANYA DIAMOND NCHINI MALAYSIA

Diamond platnum alivyowasha moto nchini MalaYsIa hivi karibuni katika club ya usiku iliyopo katika viunga vya nchi hiyo.  aaaah jih ..totoz kibaooo!! 

 

MATUKIO MBALIMBALI YA FIESTA SHINYANGA


Mwanadada Linah akiimba sambamba na shabiki wake jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Kambarage,mkoani Shinyanga usiku.
 Mwanadada ambaye kwa sasa ameonekana akifanya vyema kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2013,Neylee akiwaimbisha mashaniki wake (hawapo pichani). 
 Anajiita Jita Man kutoka jijini Mwanza akitumbuiza jukwaani usiku huu.

Dj Zero kutoka Clouds FM akiburuza mangoma usiku huu.
 Mwanadada Shilole na madensa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Kambarage.mkoani Shinyanga. 
 Masbabiki kibao waliojitokeza kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,usiku wakifuatilia na kushangweka vilivyo mbele ya jukwaa la fiesta.
 mashabiki wakifuatilia
 Kutoka Wanaume TMK,wakiongozwa Mh Temba na Chege kwa pamoja wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa kambarage mjini Shinyanga.
 Weusi wakitumbuiza jukwaani usiku huu.
 Shabiki akifurahi jamboo.
Kundi la Wanaume TMK-Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Kambaraje,mjini Shinyanga.
 

Monday, 23 September 2013

hay haya haya kilichokuwa kimengojewa hicho sasa

Kwa muda mrefu hapa mjini bukoba ule utamaduniwetu wakukutana sehem moja hasa kwenye fukwe zaziwa victoria umekua adimu, lakini kwa sasa inafulahisha kuona umeludi kwa kasi yajabu,Bog entertainment kwakushirikiana na wadau mbalimbali wakiongea na kagerakwetumagazineblogspot wamedai kua wamejipanga vyema kuhakikisha wanafanya vitu tofauti ,ukiacha beach part iliyofanyika hivi kalibuni kweye viwanja vya maruku beach sasa wameamua kusogeza kalibu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za usalama zaidi .kwa wale wapenzi wa burudani nazani jina BOG litakua sio geni masikioniomwao na wanafahamu ninikinachofanyika pindi waandaapo matamasha .kazi kwenu wakazi wa bukoba na vitongoji vyake .


Wednesday, 11 September 2013

MITINDO YA VITENGE NYUMBANI TANZANIAAA

no  comment 

wadada   wa  mujini  mpo hapoo 
hapana  chezeyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa  lol

 
nice  one   girl 

 


Thursday, 5 September 2013

FASHION OF THE WEEK


FASHION   NOMAAAAAA
mini bags new season fashion style bags for winter 2012 summer 2011, fashion blog Sydney,SUMMER   BAG   MATTER
Gucci 70-s style ruffles sheer dress fall 2011
THE  BEST OF FALL
LEDIE  IN RED
 fashion, style, stylish, outfit, girlMZIGO  MPYA  UMEINGIA  NDANI YA  THE  SHINE  BOTIQUE
fashion, style, stylish, outfit, girl 




































FASHION STYLE

Casual Wonder Girls Fashion Style 2012
Popular Wonder Girls Fashion Style 2012 – KOrean Girls band trends

 






















KOREA  GIRL BAD   CLOTHES
Cute Wonder Girls hot pants 2012Wonder Girls New Dresses 2012Wonder Girls Sexy Hot Fashion Style 2012