Kwa muda mrefu hapa mjini bukoba ule utamaduniwetu wakukutana sehem
moja hasa kwenye fukwe zaziwa victoria umekua adimu, lakini kwa sasa
inafulahisha kuona umeludi kwa kasi yajabu,Bog entertainment
kwakushirikiana na wadau mbalimbali wakiongea na
kagerakwetumagazineblogspot wamedai kua wamejipanga vyema kuhakikisha
wanafanya vitu tofauti ,ukiacha beach part iliyofanyika hivi kalibuni
kweye viwanja vya maruku beach sasa wameamua kusogeza kalibu kutokana
na sababu mbalimbali zikiwemo za usalama zaidi .kwa wale wapenzi wa
burudani nazani jina BOG litakua sio geni masikioniomwao na wanafahamu
ninikinachofanyika pindi waandaapo matamasha .kazi kwenu wakazi wa
bukoba na vitongoji vyake .
No comments:
Post a Comment