UFUNGUZI WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI MKOANI KAGERA 2013 YAFANA.
WANA HARAKATI WA SANAA WAKIWA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MSANII YOUNG TAYTA
Video ya mkali wa hiphop kagera young tayta ambaye aliwahi kua mshindi
katika mashindano ya school bash of talent kagera, sasa imeingia katika
hatua nyingine .akiongea na kagerakwetu magazine mkurugenzi wa
mashindano bwana honesty ambaye pia nimsimamizi wa kampuni ya slope
promo entertainment amedaikua kufikia taerhe 25 mwezi huu tayari video
itakua mtaani .
No comments:
Post a Comment