Tuesday, 24 September 2013

VECHA ALMANUSRA APOTEZE UHAI WAKE KWA AJALI YA GARI

 Habari zilizotufikia ni kwamba Dj Vencha alipata ajali katika usiku wa kuamkia leo akiwa safarini,chanzo cha habari kinasema kuwa chanzo cha ajali ni Dj huyo alikuwa mendo kasi na pombe iliukuwa Tilalila.

BUZNESS NA WENZAKE WAPATA AJALI WAKITOKA GEITA

Msanii wa hip hop Izzo buzness nae na wenzake wamenusurika kifo baaba ya kutokea ajali ya basi walilokuwa wamependa wakitoka Geita kwenye show na kuelekea mwanza kutafta usafiri wa ndege.
Habari kutoka eneo la tukio zinasema ni msanii mmoja tu ajuikanae kwa jina la Kabago alijeruhwa maeneo ya jicho,safari iliendelea kama kawa. 

SHOW ALIOIFANYA DIAMOND NCHINI MALAYSIA

Diamond platnum alivyowasha moto nchini MalaYsIa hivi karibuni katika club ya usiku iliyopo katika viunga vya nchi hiyo.  aaaah jih ..totoz kibaooo!! 

 

MATUKIO MBALIMBALI YA FIESTA SHINYANGA


Mwanadada Linah akiimba sambamba na shabiki wake jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Kambarage,mkoani Shinyanga usiku.
 Mwanadada ambaye kwa sasa ameonekana akifanya vyema kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2013,Neylee akiwaimbisha mashaniki wake (hawapo pichani). 
 Anajiita Jita Man kutoka jijini Mwanza akitumbuiza jukwaani usiku huu.

Dj Zero kutoka Clouds FM akiburuza mangoma usiku huu.
 Mwanadada Shilole na madensa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Kambarage.mkoani Shinyanga. 
 Masbabiki kibao waliojitokeza kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,usiku wakifuatilia na kushangweka vilivyo mbele ya jukwaa la fiesta.
 mashabiki wakifuatilia
 Kutoka Wanaume TMK,wakiongozwa Mh Temba na Chege kwa pamoja wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa kambarage mjini Shinyanga.
 Weusi wakitumbuiza jukwaani usiku huu.
 Shabiki akifurahi jamboo.
Kundi la Wanaume TMK-Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Kambaraje,mjini Shinyanga.
 

No comments:

Post a Comment