Tuesday, 29 October 2013

NAKAYA AMWONYESHA MWANAE KWA MARA YA KWANZA TOKA AJIFUNGUE

Kai1kai3
Kai2Mtoto  wa nakaya aitwaye kai
nakaya alisindika picha na ujumbe huu:
i'm blessed to be your mother. you are the most beutiful person i have ever seen son.Mungu wetu akuinue na damu ya yesu kristo wa nazareth ikufunike. in jesus name. nakupenda sana mwanangu mzuri

DIAMOND KUFANYA  KAZI NA DAVIDO WA NIGERIA 
d n dDiamond n davidookwakweli namshukuru mwenyezi mungu  nilifanya vitu vingi kidogo  japokuwa  vingine siviwezi kuvisema kwa sasa hiv wakati  wake ukifika nitavizungumzia  kwa sababu nikivizungumzia sasa hivi naweza hata vikaaribu hata hii attention ya hii remix ya my number one niliyofanya na davido  alisema:: platinum
 BALOZI ISAAC ABRAHAM SEPETU KUZIKWA VISIWANI ZANZIBAR
balozi abraham anatarajia kusafirishwa  kuelekea visiwani zanzibar  kwa ajili ya mazishi ambapo ni siku ya jumatano yatafanyika mazishi hayoc03a2f803fd111e38c3f22000ae800af_8

No comments:

Post a Comment