Tuesday, 29 October 2013

MAMA WEMA SEPETU AITUHUMU SERIKALI KWA KUMTELEKEZA MUMEWE MPAKA AMEFARIKI

Wakati Rais Jakaya Kikwete akituma salamu za rambirambi kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kutokana na kifo cha Balozi Isack Sepetu, mke wa marehemu amelaumu baadhi ya viongozi wa Serikali, akidai walimtelekeza mumewe kwa kushindwa kushiriki kumuuguza badala yake kuachia familia pekee.

Mariam, ambaye ni mke wa pili wa Balozi Sepetu aliyefunga naye ndoa ya kimila mwaka 1982, alisema mumewe enzi za uhai wake aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi, ikiwamo ya Ubalozi Urusi na kwamba, kwa kutambua mchango wake, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliagiza agharimiwe matibabu lakini hakuna hatua 
zilizochukuliwa.

Akizungumza jana nyumbani kwake, Sinza Dar es Salaam,  Mariam alisema alijaribu kuwasiliana na Wizara ya Afya Zanzibar, lakini hakupata ushirikiano aliopata,  aliamua kumsafirisha mumewe huyo kutoka Zanzibar hadi Dar es Salaam Oktoba 24, mwaka huu na kumpeleka Hospitali ya TMJ  Mikocheni.

“Nishukuru watoto wake wote waliungana na kushiriki kikamilifu kumuuguza baba yao,  wakishirikiana na ndugu na jamaa zetu wachache. Kwa kweli jambo hili limenihuzunisha sana nafikiri  hakupata huduma ya kutosha,” alisema

BEN POL AIMISS M-LAB STUDIO ATAJA FAIDA NA HASARA ZA KUONDOKA LABEL HIYO Ben Pol amezielezea faida na hasara za kuondoka kwenye label iliyomtambulisha, MLab huku akisema kwa sasa hana uhuru wa kurekodi nyimbo nyingi kwa wiki kama alivyokuwa kwenye label hiyo.

“Sasa hivi sina freedom ya kurekodi nyimbo 3 kwa wiki kwasababu itabidi upige simu, ufanye booking hata two weeks before, uende utengeneze beat, unaweza ukarekodi wimbo mmoja miezi miwili au mwezi mmoja. Lakini kipindi nipo MLab unarekodi nyimbo nne, hizi Maneno, Nikikupata, Maumivu, ndani ya wiki moja nimerekodi nyimbo tatu kwasababu una all access ya studio, unaweza ukarekodi hata nyimbo mbili siku moja, yaani hiyo access ndio nimeimiss sasa hivi,” alisema Ben Pol.

Akizungumzia faida za kuondoka MLab, Ben Pol amesema kwa sasa ana meneja wake binafsi ambaye ni kaka yake na hivyo mazingira ya kufanya kazi ni rahisi tofauti na kuwa chini ya uongozi wa label.

“Kunakuwa na mlolongo mkubwa hata kama ikitokea kazi kuona maslahi yake ni adimu sana tofauti na ukiwa unafanya mwenyewe.”

UWEZI AMINI TANZANIA IMETEGWA TENA KATIKA MKUTANO WA EACNCHI za Tanzania na Burundi, kwa mara nyingine zimetengwa na wenzao wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya marais wa Kenya, Uganda na Rwanda kukutana mjini Kigali jana. Marais hao walitarajia kujadili namna ya kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia uimarishwaji wa miundombinu, uchumi, biashara pamoja na kuweka mikakati ya shirikisho la kisiasa.

Kitendo cha kuziacha Tanzania na Burundi ambazo ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kinazidi kutia shaka mtangamano wa jumuiya hiyo.

Nchi hizo mbili zimeshaeleza kusikitishwa na muungano wa nchi hizo tatu, ambao zimesema unakwenda kinyume cha makubaliano na mkataba wa EAC.

Katika mkutano huo, marais hao, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda na Uhuru Kenyatta wa Kenya, pamoja na mambo mengine, walitarajia kusaini makubaliano ya kuanzisha kituo kimoja cha kukusanya ushuru kinachotarajia kurahisisha uchukuzi wa bidhaa kutoka Mombasa nchini Kenya, Uganda hadi Rwanda.

Aidha Sudan Kusini ilialikwa ikiidhinishwa kama mshirika katika kikao hicho.

Mkutano huo unakuja baada ya ule uliofanyika mjini Kampala, Uganda, Juni mwaka huu na mwingine uliofanyika Mombasa, Agosti, ambako viongozi hao watatu walipendekeza kupanuliwa kwa Bandari ya Mombasa, ili kuwezesha uharaka wa bidhaa kupitishwa katika kuhudumia kanda nzima.

Mkutano mwingine wa marais wa nchi 15 za Afrika, ikiwamo Tanzania, utafanyika leo nchini hapa, katika kongamano la siku nne ambalo linatarajiwa kuweka kipaumbele kwa uimarishwaji wa huduma za internet katika mataifa hayo.

Kwa mujibu ya waandaaji, zaidi ya wajumbe 1,500 watahudhuria mkutano huo, chini ya uenyeji wa Rais Paul Kagame na Dk. Hamadoun I. Toure, Katibu Mkuu wa Muungano wa Kimataifa wa Mawasiliano ya Kiteknolojia (ITU).
-Mtanzania

No comments:

Post a Comment