Friday 18 March 2016

MAKUMBUSHO YA MASHUJAA WA VITA YA MAJIMAJI

Haya ni majina ya mashuja walionyongwa na wajerumani katika vita ya majimaji.sehemu  hii inapatikana katika eneo la makumbusho mahenge songea katika mkoa wa Ruvuma.


baadhi ya vitu vilivyotumiwa na jamii ya watu wa mkoa wa ruvuma kabla ya ukoloni.
baadhi ya makabila yapatikanayo mkoa wa ruvuma ni wamatengo,wayao,wandendeule,wangoni.picha hapo chini zinaonyesha baadhi ya vifaa walivyotumia katika shughuli za kijamii.
                                  zana za kuwindia


                     
                ngoma zilizotengenezwa kwa ngozi ya simba

                       zana za kuzalishia vifaa vya chuma

                         vifaa vya kubebea na kuhifadhi nafaka

                         nguo za magome ya miti na kaniki

                                  vifaa vya jikoni







No comments:

Post a Comment