CELEBRATY

 
ILIKUWA NI  BALAA  NDANI YA  PANDE  ZA  KILOYERA  BEACH ILIKUWA  FULL KUJIMWAGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

































Hapa  ni  pande  za  kiloyera  beach   aina  chenga  wala kulemba    watu  wana  shineeeeeeeeeeee  na camera  zetu full   kujiachia  kwa poaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii   za  atari  hapa  namzungumzia  kijana  anaetisha  hapa mkoani kagera  na  kibao  chake cha  nimezaliwa  nacho akiwa na mtoto  didie  drogba wanashineeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee  njoo  kiloyera  siku  za  jumapili  nawe upate   ku shine  hiii  sio  ya kukosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

JEROME  JOHN SAMBAMBA NA JIDE ELIASI A.K.A DEMBO                                                                      Hawa nimoja kati yawanaharakati wamuda mrefu sana jerome john nimtangazaji wa kasibante fm, jide eliasi ni mtayalishaji wa muziki kutoka tang reccord.







DOGO   ZILLA (ZILLA IN THE HOUSE) Poaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii  la  kununua   utamtaka  shana  hana 
 

bukoba kumbe nako kuna watu usipime cheki izo pozi hawa wapo karibu kiloyra beach ndani ya  party ya caridian party sku ya jumapili ya 21 yanani ful mau janja 
mkono wa kulia ni dogo zilla  hapa kwa jina kamili ni golden mabanda
kushoto ni lucia a.k.a lux

















 



 


No comments:

Post a Comment