Msanii
wa hip hop Izzo buzness nae na wenzake wamenusurika kifo baaba ya
kutokea ajali ya basi walilokuwa wamependa wakitoka Geita kwenye show na
kuelekea mwanza kutafta usafiri wa ndege.
Habari
kutoka eneo la tukio zinasema ni msanii mmoja tu ajuikanae kwa jina la
Kabago alijeruhwa maeneo ya jicho,safari iliendelea kama kawa.
SHOW ALIOIFANYA DIAMOND NCHINI MALAYSIA
Diamond
platnum alivyowasha moto nchini MalaYsIa hivi karibuni katika club ya
usiku iliyopo katika viunga vya nchi hiyo. aaaah jih ..totoz kibaooo!!
Mwanadada
Linah akiimba sambamba na shabiki wake jukwaani usiku huu wakati
tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa
Kambarage,mkoani Shinyanga usiku.
Mwanadada
ambaye kwa sasa ameonekana akifanya vyema kwenye jukwaa la Serengeti
fiesta 2013,Neylee akiwaimbisha mashaniki wake (hawapo pichani).
Anajiita Jita Man kutoka jijini Mwanza akitumbuiza jukwaani usiku huu.
Dj Zero kutoka Clouds FM akiburuza mangoma usiku huu.
Mwanadada
Shilole na madensa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu ndani
ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Kambarage.mkoani
Shinyanga.
Masbabiki
kibao waliojitokeza kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,usiku
wakifuatilia na kushangweka vilivyo mbele ya jukwaa la fiesta.
mashabiki wakifuatilia
Kutoka
Wanaume TMK,wakiongozwa Mh Temba na Chege kwa pamoja wakilishambulia
jukwaa la Serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa kambarage mjini
Shinyanga.
Weusi wakitumbuiza jukwaani usiku huu.
Shabiki akifurahi jamboo.
Kundi
la Wanaume TMK-Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature wakilishambulia
jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Kambaraje,mjini Shinyanga.