FURSA KWA VIJANA YAPOKELEWA KWA SHANGWE BUKOBA MJINI WENDA VIJANA WATANUFAIKA
Mdau
wa michezo na mwanamichezo wa sports extra wa Clouds Fm (kushoto) Bw.
Shaffih Dauda akiteta jambo na Mrisho Mpoto na (katikati) ni Ruge
Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group
mapema na kabla ya semina kuanza kwenye ukumbi wa Lina's Club Bukoba
mjini. Mghani
mahiri wa mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto akizungumza kwa
msisitizo,masuala ya fursa mbalimbali zinazopatikana katika suala la
Ujasiliamali mapema mchana wa leo kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club
Bukoba Mjini.Semina hiyo iliyoandaliwa na Clouds Media Group,imefadhiriwa na shirika la NSSF;Zantel,MaxMalipo, Lake Oil. Ruge
Mtahaba Mkurugenzi wa Vipindi,Uzalishaji na Mipango wa Clouds Group
Bw. Willy O.Ruta wa Kiroyera Tours kushoto alikuwa mmoja wa wageni maalum waliokuwa
No comments:
Post a Comment